Posts

Showing posts from July, 2019

Requirements and Procedures for Obtaining the Certificate of Right of Occupancy

Introduction In this article the key requirements and procedures involved in getting the Certificate of Right of Occupancy are exhausted. SOMA MAKALA HII KWA KISWAHILI A: REQUIREMENTS a)   The plot of land must be planned and surveyed.  b) Proof of nationality. c) Proof of ownership of the parcel of land.                                        d)  Passport sizes.   e) Payments of the fees. a) The Plot of Land must be Planned and Surveyed This is a prerequisite criterion the omission of which may cause failure to continue with other procedures. Planning and surveying can be done by either of the following; i) The government. Planning and surveying departments by a relevant authority (ies) in a respective Municipal council or District council...

MAKALA 004S: Mahitaji na Hatua za Kufuata ili Kupata Hati ya Umiliki

READ THIS ARTICLE IN ENGLISH UTANGULIZI Katika makala hii, mahitaji na hatua muhimu zinazohusika katika kupata Hati ya Umiliki ya Kiserikali zinaelezewa. A: MAHITAJI ILI KUPATA HATI YA UMILIKI a)   Ardhi lazima iwe imepangwa na kupimwa. b)   Uthibitisho wa umiliki wa ardhi. c)   Uthibitisho wa utaifa. d)  Picha za pasipoti. e)   Malipo ya gharama zinazohusiana na Hati ya Umiliki. Hayo ni mahitaji ya msingi, Kamishna wa Ardhi anaweza kuhitaji taarifa au mahitaji mengine ya ziada.  a) Ardhi Lazima Iwe Imepangwa na Kupimwa Hili ni sharti la msingi ambalo likiachwa litasababisha kutoendelea kwa hatua zingine za kupata Hati ya Umiliki. Upangaji na upimaji wa ardhi unaweza kufanywa na mmoja kati ya hawa wafuatao; i) Serikali Hapa wahusika ni idara ya upimaji na ramani, na upangaji katika mamlaka husika kama vile Halmashauri ya Manispaa au Wilaya. ii) Kampuni binafsi za upangaji na upimaji Ni lazima mipango ya matumizi ya...

Legal Ownership of Land in Tanzania

Introduction In this article the discussion will be on the types of land tenure in Tanzania. These types are what constitute legal ownership of land. To promote more understanding of the topic, the article also discusses the eligibility of land ownership and the position of foreigners as far as land ownership is concerned. SOMA MAKALA HII KWA KISWAHILI Who Can Own Land in Tanzania? The following are legally eligible to own land through either Granted Right of Occupancy or Customary Right of Occupancy; a)       Tanzanian male or female. b)       A group of two or more Tanzanian citizens whether formed together in an association under any law or not, and a partnership or a corporate body. What is the Position of Foreigners? Generally, the laws of Tanzania do not permit noncitizen(s) to own land except for investment purposes. The Land Act provides that “ a person or a group of persons, whether formed into a corporat...

Umiliki wa Ardhi Kisheria Nchini Tanzania

Utangulizi Katika makala hii mjadala utahusu aina za Umilikaji Ardhi nchini Tanzania. Aina hizi ndio zinaunda umiliki wa ardhi   kisheria. Ili kukuza uelewa zaidi wa mada, makala itajadili vigezo vya kumiliki ardhi na nafasi ya wasio raia wa Tanzania katika kumiliki ardhi. READ THIS ARTICLE IN ENGLISH Nani Anaweza Kumiliki   Ardhi Nchini Tanzania? Wafuatao wanastahiki kisheria kumiliki ardhi kupitia aidha Hakimiliki ya Kiserikali au Hakimiliki ya Kimila; a)   Mtu yeyote ambaye ni Mtanzania, mwanamme au mwanamke. b)  Kikundi cha watu ambao ni raia wa Tanzania walio katika umoja wa kisheria au la, au ni wabia au washirika. Ni Ipi Nafasi ya Wasio Raia Katika Kumiliki Ardhi? Kwa ujumla, sheria za Tanzania haziruhusu wasio raia kumiliki ardhi isipokuwa kwa lengo la uwekezaji tu. Sheria ya Ardhi   inaeleza kuwa, “Mtu ambaye sio raia wa Tanzania, au kikundi cha watu au mtu ambaye ana shirika lenye hisa, ambao wengi wa wana...

Ways of Accessing Land in Tanzania

Introduction In Tanzania, every member of the community has equal access to land rights. This article explains different ways through which a person or an institution can obtain land. By understanding these ways, we believe, you will be in a position to acquire, and eventually own, land. These ways are; a)   Allocation b) Purchase c) Inheritance d)  Gift                      e) Lease            f) Clearing unoccupied/unowned bush SOMA MAKALA HII KWA KISWAHILI a)   Allocation This way involves land allocation by the relevant authority of the government. A person apply for land by filling a prescribed form. Village Land is allocated by the Village Council after the endorsement by the Village Assembly (a meeting of all villagers above 18 years). Reserved Land is allocated by the Ministry of Lands with cooperation from respective reserve authority. Allocation of the G...

Njia za Kupata Ardhi Nchini Tanzania

Utangulizi Nchini Tanzania, kila mwanajamii ana haki sawa ya kupata ardhi. Makala hii inaelezea njia mbalimbali ambazo mtu au taasisi anaweza kupata ardhi. Kwa kuelewa njia hizi tunaamini utakuwa kwenye nafasi nzuri ya kupata, na baadaye kumiliki, ardhi. Njia hizi ni; a)  Kugawiwa na Serikali                b) Kununua                   c) Urithi d)  Kupewa Zawadi                        e) Upangishaji   f) Kusafisha pori lisilomilikiwa /lisilokaliwa na mtu READ THIS ARTICLE IN ENGLISH a)   Kugawiwa na Serikali Njia hii huhusisha kugawiwa ardhi na mamlaka husika ya Serikali. Mtu huomba kugawiwa ardhi ardhi kwa kujaza fomu maalumu. Ardhi ya Kijij i hugawiwa na Halmashauri ya kijiji kwa idhini ya Mkutano Mkuu wa kijiji (Mkutano wa wanakijiji wote walio na umri wa miaka 18 na kuendelea)....