Posts

KILA KITU UNACHOHITAJI KUFAHAMU KUHUSU MKUTANO MKUU WA NNE WA MWAKA WA WATHAMINI (VRB AGM) 2023

Image
Mkutano Mkuu wa Nne wa Mwaka wa Wathamini ulifanyika tarehe 9 na 10 Novemba 2023 katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Mrisho Kikwete jijini Dodoma. Mkutano huu uliitishwa na Bodi ya Usajili wa Wathamini Tanzania (Valuers Registration Board - VRB). Ipi Ilikuwa Mada Kuu ya Mkutano? "Utafiti na Uchimbaji Madini kwa Maendeleo Endelevu ya Taifa: Tathmini ya Athari Haki-ardhi, Thamani na Fidia ya Ardhi" Umeona Kiswahili chake ni kigumu, huh? Kwa kiingereza mada inamaanisha  "Harnessing Mineral Wealth for National Sustainable Development: Implication for Land Rights, Values and Compensation" Nani Alihudhuria? Wathamini, na Wadau wa Uthamini nchini Tanzania. Mgeni Rasmi alikuwa nani? Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Kassim Majaliwa Majaliwa. Mambo Yaliyojadiliwa UADILIFU KATIKA UTHAMINI Mgeni Rasmi alisisitiza kuhusu uadilifu miongoni mwa wathamini "Kazi yenu (ya uthamini) inahitaji watumishi wenye weledi, wanaojituma wanaowajibika na waadilifu...

Purchase of Registered Land In Tanzania- PART B

In this article we will explain the other legal information to be considered by the buyer before purchasing land. furthermore, physical information of the plot together with the second and third steps in purchasing land will be discussed. h) Location of the plot The prospective buyer should treat the issue of location with a great concern. He/she should avoid the plot located in reserved land such as road reserve, open space, water source, wildlife reserve, and forest reserve or that which is found in government institution’s land and land owned by the private firm. i) Land acquisition Some areas might have been acquired to pave the way for government projects such as construction of road or hospital. The prospective buyer should seek this piece of information, and avoid those areas if it is disclosed that compensation has been paid or will be paid. j) Genuineness of Certificate of Title Sometimes the information contained in the Certificate of Title might be correct but the C...

Kununua Ardhi Iliyosajiliwa Nchini Tanzania -SEHEMU B

READ THIS ARTICLE IN ENGLISH Katika makala hii tutaendelea kuelezea taarifa za kisheria ambazo mnunuzi anapaswa kuzichunguza kabla ya kununua ardhi. Pia taarifa za kimuonekano wa kiwanja, pamoja na hatua ya pili na ya tatu ya ununuzi wa ardhi zitajadiliwa. h) Mahali kiwanja kilipo Mnunuzi anatakiwa kuchukulia suala la mahali kiwanja kilipo kwa uzito. Anatakiwa kuepuka kiwanja kilichopo katika maeneo ya hifadhi kama vile hifadhi ya barabara, maeneo ya wazi, chanzo cha maji, hifadhi ya wanyamapori na hifadhi ya misitu, au kiwanja kilichopo katika ardhi ya taasisi ya serikali au kampuni binafsi. i) Utwaaji wa Ardhi Baadhi ya maeneo yanaweza kuwa yametwaliwa ili kupisha miradi ya Serikali kama vile ujenzi wa barabara na hospitali. Mnunuzi anatakiwa kuchunguza taarifa hii, na kuepuka maeneo hayo kama ikifahamika kuwa watu watalipwa au walishalipwa fidia. j) Uhalisi wa Hati ya Umiliki Wakati wingine taarifa zilizopo kwenye hati zinaweza kuwa ni sahihi lakini Hati ya Um...

Purchase of Registered Land In Tanzania- PART A

Image
SOMA MAKALA HII KWA KISWAHILI INTRODUCTION Land is an important resource. We might be in a position to buy land at certain times in our life for purposes of residence, commerce, or farming, just to mention a few. It is therefore crucial to understand the mechanics of buying land. The underlying principle in purchasing land is that of “Let the Buyer Beware”. This implies that the buyer of land should exercise great care in the purchase process. Is not land the abode of conflicts nowadays? It is worth noting that there is “ registered land” and “ unregistered land”. Registered land is the land which is planned, surveyed, and recorded in the official register of the government (in the Registrar of Titles’ office). Vice versa is true for unregistered land. In this article we have explained the steps and important things to consider during the purchase of registered land in Tanzania. The following are the major steps in purchasing registered land; Thorough inspection...

Kununua Ardhi Iliyosajiliwa Nchini Tanzania- SEHEMU A

READ THIS ARTICLE IN ENGLISH UTANGULIZI Ni ukweli usiopingika kuwa ardhi ni rasilimali muhimu. Tunaweza kuhitaji kununua ardhi katika kipindi fulani cha maisha yetu kwa ajili ya makazi, biashara, kilimo na kadhalika. Hivyo, kuna umuhimu wa kuelewa vitu vya kuzingatia katika kununua ardhi. Kanuni kubwa katika ununuzi wa ardhi ni ile isemayo “Mnunuzi na Awe Macho” . Hii inamaanisha kuwa mnunuzi wa ardhi anatakiwa awe makini katika mchakato wote wa kununua. Ardhi imekuwa ni rasilimali yenye migogoro mingi siku hizi. Ni vyema kufahamu kuwa kuna “ardhi iliyosajiliwa” na “ardhi isiyosajiliwa” Ardhi iliyosajiliwa ni ile iliyopangwa, kupimwa na kuorodheshwa au kurekodiwa katika daftari maalumu la Serikali (katika ofisi ya Msajili wa Hati). Ardhi isiyosajiliwa ni kinyume cha ardhi iliyosajiliwa. Katika makala hii tumeelezea hatua na vitu vya msingi vya kuzingatia wakati wa kununua ardhi iliyosajiliwa nchini Tanzania. Zifuatazo ni hatua kuu za kufuata katika unun...